Big up Lowassa kazana uchukue nchi

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nimefunguka macho leo Kumbe kwenye NEC na CC za watawala salaam ni kwa mkono wa kushoto!!!! Kwa mwendo huo Kumbe ukiingia huko ni mpaka upate orientation ya jinsi ya kusalimiana, kushangilia etc
 

Tatizo ni hapo kwenye red! EL ni zaidi ya JANJAWEED!!
 
CCM guys you are all opportunists! This is what's happening kwenu hakuna cha wapinga ufisadi nor ma-fisadi wote ninyi ni majeruhi wa kuponyokwa na ulaji katika sufuria la watanzania..

This is what I wrote sometimes back...



And for God's sake CHADEMA tukichanga karata zeu vizuri hii nchi tunaichukua kiulani (Ila tu tujue tukiichukua tuna taka ielekee direction gani..maana there are issues to be resolved kwa nchi ilipofika sasa) maana hawa wote wa kambi mbili ni vichaa waliopewa rungu na kila mtu atahakikisha mwenzake amedhibitiwa matokea ni ku support the better devil if there is!
 
Kama unaweza kumpa nchi mcheza disco{jk}kisha ukawazia kumpa mchezesha disco{mbowe} alafu kwa nguvu zenu zote mkataka kumpa msikiliza kwaya za shusho na muhando{slaa}kwanin nchi hii asipewe mfuga ng'ombe coz anachunga vyema ng'mbe zake kuliko kumpa aliyetelekeza kondoo wa bwana?this is it
 
.......Lowassa, ushuri wa bure, hawa wametoka uwanjani, wanajipanga kuja kukusambaratisha, usilale, wakikugusa basi wewe maliza kazi; sikuzimii kivile lakini wewe ni mara mia ya minafiki iliyojaa na kupiga kelele magamba! magamba! huku yenyewe ndo zaidi ya magamba!!!!!
 
Nimefunguka macho leo Kumbe kwenye NEC na CC za watawala salaam ni kwa mkono wa kushoto!!!! Kwa mwendo huo Kumbe ukiingia huko ni mpaka upate orientation ya jinsi ya kusalimiana, kushangilia etc

......inawezekana salamu hii inaambatana na ka-imani kakienyeji (kwa lugha laini) au kaimani ka-kishirikina (kwa lugha ngumu)
 
Achukue mara mbili
unajua nape amekuwa sasa amesoma nykati ..na nadhan kuanzia wiki ijayo upuuzi wa porojo za gamba atakuwa akimweleza mkewe kama anaye ama hawa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…