Big results now

Pongezi kwa mwalimu.... Hongera kwa wanafunzi !! Laa'na kwa Wahusika wa Utawala wote ni madhalimu na majambazi.
 
Nampongeza huyo mwalimu anayefundisha katika mazingira hayo pasipo kujali tabu anayoipata hapo
 
Subirini kidogo jamani. Bakuli limerudishwa juzi tu akakutana na mvurugiko wa wastaafu na wastaafishwa. BRN ni lazima. Amepata za maabara kila kata ili 2015 ccm ishinde kwa mshindo mkubwa. Sii sii eem Oyee. Bigi Rizalts Naoo.
Huyo mwanafunzi aliandikishwa kwa mchango wa 50.000/= jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…