Ni fumbo.
Mkuu alikuwa kwenye ziara ya "kiserikali" huko Maleshia (Malaysia), basi huko akakutana na kitu kinachofanana na hicho ila wao wanakiita
Big Fast Result (BFR) . Akaomba asaidiwe kuanzisha kitu kama hicho hapa pia, wakamkubalia. Akarudi mwenye furaha na hamu ya kuingiza jambo ambalo hata halikuwamo kwenye mipango - vision-less state we are.
Bado ni fumbo!