Shackshake
Senior Member
- May 27, 2013
- 187
- 46
Ndio nn? Au ni msamiati ? Au kitendawili? Au fumbo?....need your help plz wana JF
Ni fumbo.
Mkuu alikuwa kwenye ziara ya "kiserikali" huko Maleshia (Malaysia), basi huko akakutana na kitu kinachofanana na hicho ila wao wanakiita Big Fast Result (BFR) . Akaomba asaidiwe kuanzisha kitu kama hicho hapa pia, wakamkubalia. Akarudi mwenye furaha na hamu ya kuingiza jambo ambalo hata halikuwamo kwenye mipango - vision-less state we are.
Bado ni fumbo!
Mkuu ni secta gani hizo ?