establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,451
Enzi hizo uamsho ulikua mkubwa sana. Watu walimtafuta Mungu kwa bidii bila kujikweza. Bonke alikuja TZ kutokea ujerumani na PA system kabambe na hakujikwezaNiwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?
NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
Kipindi kile nilikuwa mdogo sana ila nilisimuliwa kuwa mwaka 2000 ingekuwa mwisho wa dunia so kila mtu alipatwa na kauoga fulani kwa hofu wakamfuta mungu kwa wingi.Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?
NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
Akikutumia usinisahauNapata wapi vitabu vya huyo baba?
Hakika, nakumbuka sisi tulikua tunaishi Tandale tunatembea mpaka jangwani kuuza machungwaUtandawazi umeharibu watu
Ile mikutano ilijaa utakaso
This makes a lot of sense!!Kipindi kile nilikuwa mdogo sana ila nilisimuliwa kuwa mwaka 2000 ingekuwa mwisho wa dunia so kila mtu alipatwa na kauoga fulani kwa hofu wakamfuta mungu kwa wingi.
Ila sasa dunia imeendelea sana mambo yamebadilika sana watu wa sasa ni wajuaji wa kila kitu maarifa kwa watu wengi yameongezeka ndani ya muda mfupi sana na viburi vimeinuka kwa watu wa ulimwengu huu.
Ni kuuziwa mafuta maji na mafagioLeo hii?
Watumishi hawa Mungu aliwatumia kuokoa roho za MamilioniAlikuwepo Reverend mwingine siku zile Roy Durman. Tunaweza kumbatiza jina ROY DARMAN kwa sababu alikuwa anakuja Dar kila mwaka.
Nime Google na nimeona kwamba alikuwa anatoka Canada na kwamba amekufa 2018 at the age of 91.
RIP Roy Durman.
hujui kama roho mtakatifu yupo kwa ajili ya watu wote hamna tena haja ya kuongozwa na mtu kumjua Mungu kwa mujibu wa Biblia?Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini?
NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.**
RIP Reinhard Bonke.
jana Mwamposa alikuwa na watu wengi sana kanisani kwakeEnzi hizo watu wa kawaida na viongozi wa dini walikuwa wananamtafuta Mungu sana sasa hivi wengi waumini na viongozi wanatafuta pesa sana sio Mungu nguvu ya kuvuta maelfu wafike kwenye mikutano hawana