BIG March:- Man U 0 vs Chelsea 2, today 05 May 2013

BIG March:- Man U 0 vs Chelsea 2, today 05 May 2013

Najua leo mashabiki wa aseno watakuwa upande wa man utd. Ingawa man hana presha lakini tutakaza kama bado hatujabeba ndoo
 
Na Webb ndo man of the match hahahah haya bana kazi ipo kweli hapa
 
Webb ndo ref wa hiyo match ambayo ni muhimu sana kwa Chelsea kuliko Man U ingawa bado nawapa Chelsea Credit za kushinda kutokana na mechi zilizopita kati yao na Man U
 
Man U piga hao Chelsea kipigo cha Libolo Arsenal tupumue
 
Man U piga hao Chelsea kipigo cha Libolo Arsenal tupumue

Yaani we waache warukeruke weee, lakini yeye na mke mwenzao Tottenham wachague nani atupishe, maana kwenye katiba ya Arsenal suala la kutocheza Champions League halipo
 
Back
Top Bottom