Big data selling (WhatsApp ,Instagram and Facebook)

Nipe mbinu za kutumia bure tafadhali
 
Hiyo bure namimi naombeni mniunganishe ili niweze kuinjoi.

Kinyume na hapo umeandika kitu ambacho hujakifanyia utafiti.
Anamaanisha ulipo download whatasspp hukuwalipa.....na unatumia kwa Bando za Carrie network only..... Je huyu whatsapp analipwa na Voda bando uliyojiunga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha bure mkuu, internet tunalipia na Serikali inakata kodi yake
Ushajiuliza kwann ulipie umeme na pia king'amuzi? kwann usilipie umeme na king'amuzi ukaangalia bure? tuyaache hayo vipi kuhusu secure sms, vipi kuhusu apps za kununua? Si unanunua bundle la internet lkn mbona unalipia apps zinazouzwa mtandaoni au kulipia huduma fulani mfano apps za kumdukua mtu, THL n.k
N.B
Kila mtengenezaji wa apps ana lengo fulani ili kupata pesa. Unatumia bure lkn wao wanaingiaza pesa nying kupitia Ads. Ushajiuliza kwann uwapo mtandaoni unakutana na ads pop up nying mpaka kero? Ukiingia youtube unapoplay video unakutana na ads kabla ya kuangalia video kwa chini unaona "skip ads" ukiclick hapo ndiyo unaangalia video yenyewe.
Kununua bundle la internet siyo kigezo cha kupata huduma yyte mtandaoni. Wamiliki wa whatsApp, Instagram, facebook, na twitter wanapiga pesa ndefu sana kupitia ads
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…