Big Brother Africa Stargame Final

Hahahaha Prezzo for the mooolaa
 
Top Two final is Keagan and Prezoo.....Keagan for MOney....
 
hivi wa 2 na wa 3 huwa wanapewa zawadi gani.......?
 
nimeshajua.....Keagan ndio anachukua.....japo sikupenda......
 
BBa inatambua mshindi mmoja tu wanaobaki wanafaidika kupata mikataba na makampuni ya kibiashara.
 
Prezo akichukua wasanii wabongo wawe tayari kupiga salute maana hakuna rangi wataacha kuona.
 
Prezo anaweza kuchukua ila upepo haumkubali sana bado. Tumuombee jirani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…