Wakuu kwa wale wafuatiliaji wa hii kitu leo ndo final, Mshindi ni mmoja kwa mwaka huu na ataondoka na kitita cha USD-300,000.East africa tunawakilishwa na Prezoo aka the president from kenye na Kyle from Uganda, wengine waliobaki ni Wati-Malawi,Lady medi-Namibia,Talia-Zambia, na Keagan-SA
Mastaa kibao kutoka africa watapeform
Ntawaletea update kadri ntakavyoweza,nawasilisha..
Lady May.......
pamoja sana mkuu....tunafuatilia.......
mkuu me nampigia chapua Keagan from sa,jamaa ni entertainer sana...