Kinachosababisha balance ya meli ni nini? mana ukicheki chini ni nyembamba kuliko juuView attachment 1760762
Haya madude ni makubwa balaa
View attachment 1760380
👉Triceratops - Pre-historic Creatures ambaye anafananishwa kitabia na kimaumbele na Modern Rhino (Faru wa sasa)
kuna vitu ni raha ata kuviangaliaHuwa sichoki kuiangalia hii ndege....dereva wake anavaa bonge la ovaroli....likitua watu wamejaa kuishangaa
Thanks for the knowledge mate.View attachment 1760812
Kushoto huo ni mfupa wa Triceratop na wa kulia ni wa Tembo
Hii ni ndogo kwaLiebherr 9800
View attachment 1760736
Sasa hapo papuchi ina ukubwa gan?View attachment 1760795
Kikokotoo cha Blue whale
Hahaaa balaa ngoja nikuoneshe nyingine hii ni injini ya meli ndogo hii ni Hp 12,000 cylinder 6 hapo unaweza kuona hadi exhaust valves,cylinder bore nkMkuu hii inakula mafuta?
Yaan ndio nilikuwa namchuja sanchoka hapa..Hahahaaa watu wataleta mambo ya sirini???
Hii ningependa iwe science/educational post sio watu walete misambwanda
View attachment 1759768
Monster from the sea