Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,401 Reaction score 465,253 Sep 23, 2016 #21 chige said: Lakini the so called kiki zingine zinatengenezwa na watu halafu tunawazingizia WCB!!! Click to expand... Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu
chige said: Lakini the so called kiki zingine zinatengenezwa na watu halafu tunawazingizia WCB!!! Click to expand... Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,888 Sep 23, 2016 #22 shunie said: Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu Click to expand... Naweka 75% kwamba Insta made stuff!! Panaweza kuwa na misunderstanding za hapa na pale ambazo ni kawaida kabisa lakini raia wakaongeza chumvi, pili pili, na ndimu juu!!
shunie said: Kwahyo hii chige inawezekana ikawa imetengenezwa na watu Click to expand... Naweka 75% kwamba Insta made stuff!! Panaweza kuwa na misunderstanding za hapa na pale ambazo ni kawaida kabisa lakini raia wakaongeza chumvi, pili pili, na ndimu juu!!
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Sep 23, 2016 #23 baba yao mond ndo ataamua
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Sep 23, 2016 #24 Harmonize hamfikii rayvanny hata robo
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,290 Reaction score 3,946 Sep 23, 2016 #25 Hivi hela ina uhusiano na weupe!?