Bifu za watu maarufu zinavyoendelea mtandaoni

Muda mwingine tuache propaganda za kikuda ni wapi chadema wametoa hayo matamko ? Kwahiyo wanachama wawil watatu wakitoa matamko yanakuwa ya chama kizima? Acheni kuchafua chama cha wenzenu wamekipigania had kufikia hapo kilipo, upumbavu wa baadhi ya wana ccm ni wa chama cha ccm? Uhuni wa sabaya ulikuwa ni wa ccm nzima ?Aly kesi alipotaka magufur aongezewe muda kwa lazima kumbe ilikuwa ni ajenda ya ccm nzima .

Nimeingia kwenye tovuti ya chadema sijaona hicho kitu Zaid ya kigogo na baadhi ya wafuas wake kuongelea hili.

Mkianza propaganda hiz mtaipeleka nchi sehem mbaya ,na bahat mbaya sana wana ccm wengi wakiguswa tu wanatokwa sana na mapovu had wengine kuamua kumiminia wengine risas kisa dola ipo upande wao .

Mbona mimi ni ccm na kadi ninayo kabisa ila sijawah kuwakubal wasanii wa Tanzania kuanzia mondi ,kiba na wengine ambao hawajui umuhim wa kuwatetea wananchi Zaid ya kuangalia maslah yao pekee?

Ubinadam ukae mbele kwanza hata kama sisi ni wana ccm lakin utu kwanza ,kipind anapigwa risas lisu Kuna msanii hata mmoja alisimama hata kutunga wimbo wa kukemea haya? Ila ajabu kila msanii alikuwa anapambana kutunga wimbo wa kumsifu maguful hata kwenye hakuna.
Wasanii tz hawazid watano akiwemo roma ,ney ,Nikki mbishi ,nash mc ,sugu ,wengine ni wachumia tumbo full kujipendekeza kwa wana siasa .

Nipo ccm ila sijawah kumwelewa magu hata kwa dakika moja ,huyu ndie kaleta chuki miongon mwa watanzania ukiwemo wewe ,huyu ndie kaleta maisha ya kujipendekeza na kufanya watu wawe waogo kama kuku mwenye mdondo, huyu ndie kaleta viongoz wababe kama akina sabaya ,makonda na mnyeti .

Acheni ujinga siasa ni tamu ila upande wa pil mambo yakigeuka ni hatar Zaid ya ujuavyo , mm nipo mipaka ya Rwanda huku Rusumo na mpaka wa Burundi huku Kobero so nashinda Burundi na Rwanda kila baada ya wiki ,maisha ya hizo nchi yasikie tu kwa watu ,nao walianza kama sisi tu lakin Kuna upande mmoja ulichoka had leo raia wanaishi kama dig dig hakuna Uhuru kama mlio nao hapa Tanzania wa kuropoka uharo ambao ni hatar kwa nchi
 
Mbowe yupo kanda ya ziwa leo kaanza kanda ya kati . Bawacha wapo mzigoni ukija kila jimbo linajenga ofisi zao hii haijawahi tokea africa. Unataka wajengeje chama. Ni mgawanyo tu wa majukumu
wengne wanajenga chama na diamond mtandaon?Kwel ni mgawanyo wa majukum.
Kule kwa halima mdee mumemuacha nani ashugulikie?Au mumewashindwa?Mumeona ni bora mkimbilie kwenye tuzo?
 
Back
Top Bottom