Yaaaaah naunga mkono hojaHii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi moja(Lulu na hamisa), by the way tunda alijitahidi sana, lakini nawaza tu kama Lulu ataipost hii video kwa account yake ya instagram kutokana na bifu waliokua nalo kati yake na hamisa, pia inasemekna mrembo huyo hapatani na tunda, inasemekana tunda amekua tishio hivi karibuni kwa muigizaji huyo,kuna kipindi walionekana wote maeneo ya mlimani lakini kila mtu alikua na hamsini zake utadhani hawajuani, tunda amekua tishio kwa Lulu, hvyo anaogopa mtoto huyo mwenye uzuri wa aina yake kumuaribia soko kwenye film hata wanaume.
Bngo movie bichz wengiTatizo wakishaanza kuitwa mabosi tu ,ishakuwa tabu...lazima watafute bongo movie wawavue chupi ....wanawake wa bongo movie hawana mapenzi wao ni pesa mbele.....mtu mwenye heshima zake kama majey alitakiwa amtafute mwanamke asiye na jina ,,amwoe..sio hawa malaya wa bongo.movie...utaskia mda sio mrefu.....yangu macho
Kula like 1000000 zote zako MkuuHuyo majey naye hana akili kuhangaika na hawa malaya wapenda pesa,ajifunze kwa kanumba kilichomkuta,,
Lulu ndiye yule eti wanasemagalulu ndo nani????
mziki wa bongo flavour sio bongo movie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] namuonea huruma KAYUMBA[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32]Lulu ndiye yule eti wanasemaga
Marehemu
kanumba
Komba
Nawengine wote majina yao
Yenye " K " au kuishiwa na Mba
Alikuaga nao karibu sana.
wee acha mkuu uke hauna baunsa usishangae mtoto mdogo analicontrol libaba mpaka linaliaHuyo majey naye hana akili kuhangaika na hawa malaya wapenda pesa,ajifunze kwa kanumba kilichomkuta,,
Chukua hzo 100% mkuu,Lulu huwezi kumfananisha na Tunda, Mpeni heshima hata kidogo. Mastaa wote mpaka Wema wamemkuta Lulu kwenye ustaa, staa ambaye nuru yake iliwaka toka mtoto, na bado yupo fresh mpaka leo. Ni haki kumlinganisha na huyo mzunguka lorge na Mahotel akiuza kipapa? Tuwe fair..