Soory!! Ulikua unatukumbusha au
Mambo ya ma beef tupa kule... nasubiri siku atakayopatana na Ruge na Kusaga lol maanavlife is too short kuishi na chuki na visasi.
Na wee tumalize lile beef letu
Mnaleta siasa mpaka mwenye mziki...unavyosema hana mpinzani tu....nikajua wewe kambi jaydee....hatuendi hivyo...alafu ushabiki haufai......
Si ndo maana ya umbea na we we, kwan ulijua kama wana bifu? Sio kesi waweza kupita kimya pia