lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,939
- 517
Kuna bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz kisa ni wimbo wa Wanjera aliomshirikisha Wema Sepetu katika video yake. Diamond kakasirika kwa nini Dimpoz kamtumia Wema?
Na picha za Dimpoz alizopiga na Wema South Africa walipokua wakirekodi wimbo huo.Inaonekana Dimond bado anampenda sana Wema ila kaenda kwa Zari kupata umaarufu zaidi anatakiwa kutulia kama K4REAL.