Raha ya Mechi yoyote anaejua ni yule anaeshinda na sio anaepiga chenga nyingii.
Diamond ni Level nyingine kabisaaaa,acheni mas`hara kabisaa,
Then kwenye Pesa ndio kama hivyo ni Billionaire,sasa we uje ulinganishe na alikiba?
Halafu hizi ni issue za madem wa kibongo ndio wenye kuweka makundi,ila unakuta hadi midume imeingia humo.
Pesa anayomili Diamond anaweza kuanzisha kituo Kikubwa tu cha TV na Redio zaidi ya Clounds.
Leo huku Zanzibar Wapo WCB Team inafanya show,full mtete,balaaaa,nilipita pale wakati nakuja home,watu nyomi balaa.
Sh ngapi?punguza mihemko kijana kuanzisha radio/tv sio kama kuanzisha WCB!
Sh ngapi?
Gharama ni sh ngapi za kuanzisha radio mkuu?unataka tuanzishe thread gharama za kufungua radio/tv (kubwa zaidi ya clouds)?. kama alivosema mchangiaji hapo juu
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa diamond na brand kubwa ya radio na tv clous fm bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake
Mfano juzi alikiba alipokwenda South Africa clouds ilipost kupia mitandaon na kutuma mwakilishi aende akareport kiba akisign na sony
Neyo kaja tanzania clouds kimyaaaa millad ayo pia tofaut nabtulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofaut hajareport lolote kuhusiana na ujio wa neyo wala shoo ya diamond
My take.. :
Millad usipote njia hao wapo na wewe saiv baadaye utaondolewa kama wengime walivyowah fanyiwa