Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Tuliwaamini sana Supper Sports ya South Africa kwenye soka wakitumia mwanya wa sheria zetu kudhibiti vituo vya television. Sasa hawa jamaa wa Bidvest Wits wanatuambia eti mashindano ya CAF hawayatilii umuhimu kama ligi yao. Kama kawaida whistle-blower hapa wanatetea jambo hilo. Hawa wameshindwa tu kimchezo na Azam na wasiidharau michuano ya shirikisho letu la Afrika.