nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,675
- 14,056
Naam ni bidii katika kuitafuta nguvu kuu iliyo ndani yetu kwa imani zetu.
Haihitaji kutumia nguvu.
Sikiliza sauti iliyo ndani mwako kisha pima ni hasi au chanya?
Kama ni Chanya basi hiyo ndiyo nguvu kuu na kinyumeche,
Hisia zikija mbaya potezea....mawazo yakija mabaya potezea....ubinafsi ukija potezea...hasira zikija potezea....
Kaa na njaa mpaka ikuume hasa pale ndipo nguvu ya ndani inapo ji activate...mara nyingi njaa huleta hasira iwapo utaweza kuidhibiti hasira... basi nguvu yako ya ndani inakuwa imara sana sana.
Pia zikija nyege potezea...kiu ya fegi potezea na kiu ya pombe...sigara bwege hata ngada chinjia kunako baharini...
ukiweza kufanya hivi kwa siku 40......basi frequency zako na channel zitabadilika pia mzunguka wa nguvu yako isiyoonekana,,,hii itapelekea wewe kuwa mtu wa aina nyingine kama ulikuwa na ugonjwa wowote lazima upone,
Muonekano wako wa mwili na sura vyote vitabadilika.
Amka alfajiri kabla jua kuchomoza.....jitamkie maneno ya heri.
Nyoosha viungo( mazoezi mepesi).
Oga maji...yakiwa ya baridi itapendeza zaidi...fanya hivi ukiwa nje ya nyumba miguu peku(bila viatu)hii itapelekea ku activate na ku reboot energy na frequency zilizo kwama na ni vyema uso wako uelekee kule jua linapochomoza....ukiwa hujavaa shati italeta matokeo bora zaidi.
N.B. kushinda njaa wengine wanaita kufunga...just eat after every other day na katika mlo usikose mboga za majani.