BIDII Google Group yafungwa

Naona Bw.SHY bado unaendelea kukwiba articles na machapisho ya watu na kuyageuza ya kwako. Naona umeinyakua post ya Game Theory hapa kama ilivyo na kuipeleka kule 'kwako' kama ilivyo neno kwa neno..ila mwisho unajiweka mwenyewe..eti

Yona Fares Maro
I.T. Specialist and Digital Security Consultant


lol..


kwani hawa wanao tundika hizo habari hapa nao si wanazi chukua sehemu nyingine?
 
Ile group ya BIDII, iliokuwa inakuja kwa kasi ya kimbunga imepingwa chini rasmi jana.Imefungwa kutokana na habari kuwa inasambaza SPAM.ukweli ni kwamba kuna watu ambao waliona BIDII kuwa ni tishio kwa uongozi wao na matendo yao hivyo wameandika barua kwa google na kudai inasambaza SPAM.

Kuna habari nyingine pia zina sema kuwa JF. ikombio kupingwa chini kabla ya mwezi wa 8 mwaka huu.hii ni kwa site zote zinazo zungumzia maswala ya serikali na siasa kwa ujumla zina takiwa zi fungwe kabla ya uchaguzi mwakani. Kwani zimeonekana kuwa tishio.hakika hawa watu hawata tuweza,tuko sambamba nao.Kwa nini wasifungie website za ngono wanakuja kufungia site ambazo zina elimisha jamii kuondokana na ujinga n'k.


Ni NDOTO ZA ALINACHA kwa mtu kufikiria kwamba JF itafungwa. Hilo HALIWEZEKANI!

JF haijasema lolote zaidi ya ukweli mtupu! Mwenye kuona karaha AJINYONGE! Tutasema tu, hatutakuwa wanafiki, hatumwogopi BINADAM ila MUNGU PEKEE!

./Mwana wa Haki
 
Si Ndio Maana Zikaitwa TETESI!?,

Hamfahamu maana ya Copyright? Haki Zote Zimehifadhiwa? Patent Pending? Copying (internet plagiarism) or Imitating of any material is strictly prohibited and it is Legally punished by law (lawsuit/sue)!.

Come up with your OWN ideas!.

Kaka'B.
 
Back
Top Bottom