Mimi sijui utu uzima.?? Kila sk muda kama huu usingizi unayeyuka..napanga nakupangua mambo balaa...yaan naamka kbs naanza kuandika things to do..wap nirekebishe..argggg utu uzima sio kbs jamani!..

Nadhan ni msongo wa mawazo..kesho nataka kuanza fanya mazoez mepesi mepesi maana kukaa bila kijishughulisha nayo kipaji..anza mazoez ya kufanya mwili uwe active ..usijifukize lakiniš¤¦