elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Asante kaka na je, inaezekana kubadilisha format ya flash au mpaka nitafute hio flash yenye fat32...?????? Na je nikiipata naeza kuitumia kwa PC ingine ambayo sio Mac....????
so nikiifomat to fat32 inaeza tumika kwa PC yoyote...???
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi
Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi[/QUOTE
Duu!!!!ujanja mwingi.........................Hakuna device isiyoingia kirusi dawa ni kutumia antivirus pia angalia window unayotumia kama ni XP hiyo ilishatolewa sokoni hivi sasa inapokea virus sana inawezekana pia hiyo movie uliyo download ni virusi
download Adwaremedic then install huwa inaondoa tatizo ila ni kweli hazishiki virusWadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????
NAHISI HAPO ATAKUWA AMETATUA TATIZO LAKE COZ WATU WENGI HUWA WANAJUA UKI DELETE KTK LOCAL DISK INAKUWA IMETOKA KABISA TKA DEVIC KUMBE NI MPAKA AITOE PIA KWA DUSTBINKatika Mac ukifuta data katika external device Kama flash au HDD Ile data bado inakuwa imekula the same amount of space hadi uende kwenye recycle kule uka-empty space yote
Katika Mac ukifuta data katika external device Kama flash au HDD Ile data bado inakuwa imekula the same amount of space hadi uende kwenye recycle kule uka-empty space yote
mkuu salama?Mkuu ebu angalia format ya hizo flash zako unazotumia. Inawezekana ziko formated to ntfs, kama unavyojua mac haitambui format system ya ntfs inatambua fat32.. Kitu kikiwa ntfs inaweza soma data zilizomo lakini haiwezi ku write data kwenye device yenye format hiyo.
mkuu salama?
well, ni kweli kuwa format ina matter coz kwa mfano external HDD nyingi ziko katika format ya FAT so ukitumia katika mac unaweza kuwa limited, unakuta unaweza copy from mac to extenal lakini huwezi kudelete from external so cha msingi install NTFS pgm.Nashukuru kwa ushauri boss....!!!!!! Na vip kuna mtu ameongelea suala la fomat za flash unalionaje...???
Kudunga dunga haifai.Wadau Kama mada inavyosomeka hapo juu mim ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za kampuni ya Apple.... Nilivutiwa sana baada ya kusikia kua bidhaa haziathiriki na Viruses... Nimetumia simu za kampuni hio zaidi ya mbili na nilivadilisha tu baada ya kuhitaji model mpya nasio kwa tatizo la simu ya awali.... Nimekua na Imani sana na kampuni hii.... Siku chache zilizopita nilijaaliwa kiasi fulani Cha pesa nikaamua kutafuta MacBook Pro (Aina ya Laptop za kampuni hio) nikapata ikiwa ni second hand.... Kama mnavyojua mpya ni gharama sana nikaamua nichukue hio kwa jamaa ambae alishaitumia..... Nimeitumia Kama miezi mitatu sasa imefikia muda siielewi kwani leo nimechomeka flash ili nihamishe muvie toka kwa Laptop to flash... External device hio ilionekana imejaa hivyo nikaamua nifute vitu vyote ila nikiingiza muvie hata ya Gb1 inaniambia hakuna space kwa external device hio.... Na sio moja nimejaribu flash zaidi ya tatu.... Mpaka nimeanza kupatwa na wasiwasi huenda laptop hii itakua na virus....
Naomba member mwenye uzoefu na hivi vitu anisaidie ushauri tatizo ni laptop au ni hizi external devices...????
Niuzie iyo macAsante kaka na je, inaezekana kubadilisha format ya flash au mpaka nitafute hio flash yenye fat32...?????? Na je nikiipata naeza kuitumia kwa PC ingine ambayo sio Mac....????
Ni possible.Wow! Window XP kwenye mac?U kiddin right!
Mkuu kweli we nomaa, kwahiyo ukishaingiza hiyo flash yako alafu unaipeleka wapi?Kudunga dunga haifai.
Laptop yako ifanye kama mke si kila mtu adunge dunge tu flash yake.
Personal tangu nimenunua laptop ni mwaka wa tatu sasa haijawai kuingizwa flash ya kiumbe yeyotr zaidi ya yangu binafsi. Nadhani unaelewa
Hehe in short mimi kompyuta yangu haipokei bali inatuma yu know what am sain? [emoji28] napenda kuiita straight. Inakua ivi muvi nadownload na software zote nipe link nadownload. Kama ni documents naweka kwenye sim nasync na software kama cloud drive alafu naishusha kwenye pc.Mkuu kweli we nomaa, kwahiyo ukishaingiza hiyo flash yako alafu unaipeleka wapi?