Bidhaa za afya na usafi

Bidhaa za afya na usafi

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
37
Ninasambaza bidhaa za afya na udafi zenye sifa zifuatazo:-

CARE:-
Hii ni bidhaa maalum kwaajili ya mambo yafuatayo:-
- Inatibu kuku magonjwa mengi hasa KIDELI
- Inatibu fangasi sehemu za siri na miguuni
- Hutoa gesi tumboni
- Huondoa sumu mbalimbali kwenye mboga na nyama
- Inatibu ng'ombe, mbuzi, kondoo na mifugo yote matumizi utaelekezwa zaidi.

HUSAFISHA NA KUNG'ARISHA MASINKI YA VYOO NA MARUMARU MABAFUNI.

Matumizi ni mengi kwa kweli

LDC

Hii inakazi nyingi hiz ni baadhi tu

-Kutibu meno
-Kuondoa harufu kinywani
-Kuogea hapa inalainisha ngozi
-Kufulia nguo nyepesi km chupi nk

KUSAFISHIA VYOMBO hapa huondoa kabisa mafuta na migando/ mitando sugu kwenye vyombo.

KARIBU SANA UTAFIKIWA ULIPO KIRAHISI SANA 0763797853
 
Back
Top Bottom