Bidhaa yeyote kutoka dubai

Bidhaa yeyote kutoka dubai

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,633
Reaction score
112,442
Hii ni kwa yeyote anaehitaji bidhaa/biashara yeyote kutoka Dubai.
Tafadhali pm
 
Sorry wewe ni agent,una biashara Dubai au?? Ni swali tu ili nielewe

Nafanyakazi dubai, na nimeamua kuanza biashara pia. Ukihitaji chochote takutumia then nakuagizia sehem, unaenda kulipia na kuchukua chako
 
Usjali mkuu taileta hapa jukwaani. Lakini sijaona pm toka kwako mkuu
naona ni mgeni,PM yake ilikosea njia ikaja kwangu.mpm maana yaweza kuwa hata thread ameshaipoteza na hajui kuitafuta.
 
Hii ni kwa yeyote anaehitaji bidhaa/biashara yeyote kutoka Dubai.
Tafadhali pm
Bongo ya leo imejaa "wapigaji" wengi sana, wewe utatumia strategies gani kujitofautisha na hao wapigaji??

Yaani mfano nahitaji labda spare ya gari, utaniaminishaje kua nitaipata na hela yangu iko kwenye mikono salama??

Ni Biashara ya Prepay, Postpay au Advance Cash??
 
Nahitaji motherboard ya Hp 630 core i3 laptop. itacost Tsh ngapi?
 
Bongo ya leo imejaa "wapigaji" wengi sana, wewe utatumia strategies gani kujitofautisha na hao wapigaji??

Yaani mfano nahitaji labda spare ya gari, utaniaminishaje kua nitaipata na hela yangu iko kwenye mikono salama??

Ni Biashara ya Prepay, Postpay au Advance Cash??

Kama ukihitaji naweza nikaiagiza, then ukaenda kuchukua na kulipia.
Sihitaji pesa kabla ya mzigo, nakuletea mzigo unalipia, kwaheri
 
nahitaji brand new mini laptop. je nitapata kwa shilling ngapi? Sony..Samsung ...hp
 
Kama ukihitaji naweza nikaiagiza, then ukaenda kuchukua na kulipia.
Sihitaji pesa kabla ya mzigo, nakuletea mzigo unalipia, kwaheri

Dogo naona wewe ni mgeni wa biashara za hivi, sasa nakushauri usije ukathubutu kufanya kama ulivyoandika hapo juu.. Utalia sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom