Biden apigilia msumari wa mwisho!!

Biden apigilia msumari wa mwisho!!

Russia hawezi kurusha hata kokoto tu ndani ya ardhi ya Estonia.
 
US kamwe hawezi kutumia ralimali nizake kupigana vita ya hasara .Hapo watu wanao plan mind set ya hii dunia uendeje tiyari waneona nini kinakwenda kutokea ;Rashia kwishiney hii ndicho kilikuwa kinasuburiwa miaka mingi dunia sasa ni ushindani wa biashara bila biashara you are useless
 
Duh!!! Hivi na wewe ni binadamu kweli!? Maana naona kama hicho kichwa chako ni cha kufugia nywele tu.
 
Vita sio kama Ngoma ya Mdumange bwana mdogo kwamba unapigana tu kama masela wa Manzese kisa kuonyeshana ubabe.

Mrussi angekuwa na nia kweli ya kupigana na Marekani angemgusa mwanachama wa NATO kati ya hao anaopakana nao lakini kawaacha kaenda kwa UKRAINE. Au unataka kumuambia una akili kupita Putin?!
Kwani mrusi kasema anapigana na marekani ushabiki unatufanya tuukatae ukweli.vita ipo ukraine tuijadili. Mdumange ushapulizzwa. WANDELE SEGERE JADULUNKA
 
Putin alisema sitaipiga Ukraine USA wakasema ataipiga na tunaona anavyosogeza majeshi na vifaa hatimaye putin anashusha kipigo.

Jana Biden kasema hawataingilia vita ila wanawalinda maswahaba zao, angalia Putin atachofanya, atamchokoza mmoja wa maswahaba wa NATO ili mchezo uwe mkubwa mpaka China, Korea waingilie ili adhima ya kuichapa Amerika itimie.

NOTE: it's my case eye.
Halafu wakishaipiga america then what ???
 
Back
Top Bottom