Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,124
- 5,697
Wapo Ukraine wanadanganya. Kumbe wanamgwaya P. Mbona wanaenda kimyakimya?
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Anayoyawaza yalishafanyika zamani sanaMkuu unafatilia chombo gani cha habari..? Hata TBC unaijua kweli..?![]()
Putin ameshadhalilika Ukraine kama ana akili timamu hawezi kuvamia maeneo mengine!Rais wa Marekani aliendelea kuionya Moscow kwamba, kwa kuzingatia kanuni ya 5 ya NATO, Washington itaingjia kuwaokoa washirika wake wa NATO ikiwa Urusi itawalenga, na kuongeza kwamba kambi ya kijeshi iko tayari "kulinda kila inchi ya eneo la nchi za NATO na nguvu kamili ya mamlaka yetu ya pamoja."

Kaonyesha NATO ni wachumba, wamemuacha Ukraine, afe mwenyewe, ingawa hao hapo mwanzo walijidai, kumpeleka silaha na mengineyo, wamempelekea jamaa afe kifo cha mende!
Hii unazungumzia ww ni hisia, lakini hii nazungumzia mimi ni uhalisia, so hisia na uhalisia ni vitu viwili tofauti. Ngoja nikupe mfano.. Mfano rafiki yako anaishi kijijini, hapo kijijini amezingirwa na nyumba zingine nne za majirani zake, ambapo nyumba tatu za mwanzo ni za ndugu wa familia moja. Rafiki yako ana mifugo yake ya mbuzi anafuga. Jirani yake wa karibu ambae ni nyumban namba moja (kwa vile ana ndugu yao ni kiongozi mkubwa serikalini) anatumia chance hiyo kuchukua mbuzi wako mmoja bila taarifa (yani anaiba) anamchinja anamla. Rafiki yako anapata taarifa kwamb jirani yake namb moja amekula mbuzi wake, lkn anamezea bila watu kujua kuwa kamezea kwa vile jirani huyo ana ndugu yake kiongozi serikalini au kwa sababu zipi. Siku zinapita, baada ya muda jirani yake namb mbili na namb tatu wote wanaiba mbuzi wake kwa nyakati tofauti, kumbuka hawa namba 2 na tatu ni ndugu wa familia moja na yule mamb 1 alieiba kwanza.(hawa nao wakiwa na kiburi kwamb wakiguswa tu na mwenye mbuzi ambae ni huyo rafiki yako watakwenda kushtaki kwa yule ndugu yao ambae ni kiongozi wa serikalini. Rafiki yako anapata taarifa ya kuwa jirani zake namb 2 na namb 3 pia wamemuibia mifugo yake, na kwa hawa pia anashindwa kuchukua hatua, haijulikana ni kwa kumuogopa huyo mwamba wa serikalini au vipi siku zinapita rafiki yako anamezea. Mara ya mwisho anasikia tetesi kuwa na jirani yake namb nne, na yeye anapanga kuiba mbuzi wake kama walivyoiba hao waliopita huku huyo namb 4 akiwa hana undugu wa moja kwa moja na ofisa yoyote serikalini. Ghafla rafiki yako anakwenda kwa yule jirani namb nne na kuanza kumshambulia kuwa anapanga kumuibia mbuzi wake huku akiwa kazipita zile nyumba tatu zilizohusika na wizi wa mbuzi wake, tena zikiwa zimeanika ngozi za wale mbuzi walioiba mbele ya nyumba zao. Rafiki yako anaziona ngozi lkn anaamua kwenda kudili na huyo ambae bado hajaiba. Je watu wenye akili wakisema kuwa rafiki yako anawaogopa wale walioiba na kumuonea yule asieiba kwa vile hana wa kumtetea watakuwa wamekosea? Mfano huu namaanisha rafiki yako ndio Mrusi, majirani namb moja hadi tatu ndio hizo nchi za NATO zilizomzunguka rashia, ngozi namaanisha silaha na jeshi la NATO katika hizo nchi, na huyo ofisa mkubwa wa serikalini amaanisha ni Marekani. Kitendo cha Marekani na vijana wake kutoka huko walipotoka na kuja kuweka kambi na jeshi lake hapo mbele ya dirisha na mlango wa Rushia tena bila kambi hizo na jeshi hilo kuguswa na Rashia ni cha kujiamini sana. Haikuwahi kuwezekana, haiwezekani na haitawezekana Rashia kuthubutu kuweka kambi zake za kijeshi katika nchi zinazoizunguka Marekani, japo huko nyuma alijaribu kumtumia Cuba lkn vikwazo vidogo tu walivyokumbana navyo vilisababisha Cuba yenyew iombe poo kwa mtu mzima (USA) Usicheze na hili taifa ambalo dunia yote ipo katika kiganja chao cha mkono. Kuiga style ya Marekani wanavyoendesha dunia ni sawa na kumuiga tembo kun.ya. matokeo yake utachanika mk*nd bure.Time inazungumza hichi kilichofanywa na Mmarekani kuchange gear hewani kumuachia msala UKRAINE Kitaendelea hata hizo nchi mnazoziita wanachama hivi tu tujiulize swali la msingi ule uvamizi angefanya nchi kama Japan Mmarekani asingepeleka jeshi Ukraine kweli...? hapa tusipepese maneno hata Hata siku akizingua Poland Mrusi akaivamia patatoka vijisababu kuwa oooh kwa kuwa mwanachama mchanga hatuwezi kupeleka jeshi hafanyi hivyo Mmarekani kwa kubahatisha anajua afanyalo anamjua Mrusi tangu dahali huko kwani mara ngapi Mmarekani anapeleka majeshi yake kwa zisizokuwa wanachama wa Nato au mnajisahaulisha kwa nini hapeleki Ukraine anajua moto wa Mrusi
Tumekubaliana kuwa hatutaki majeshi ya NATO wala silaha zao karibu na eneo letu. Sasa inakuaje tena tunaziacha nchi za NATO tunazopena nazo mpaka ziendelee kutamba na jeshi la NATO pamoja na silaha zao, huku sisi tukizunguka mbuyu kwenda kumpiga yule ambae sio mwanachama wao. Nini kinachotufanya tuogope kuzishambulia hizo nchi zinazohifadhi silaha hatari na jeshi la NATO karibu na mipaka yetu?Babu Bideni Maneno Matupu Hayajengi![]()
Mkuu ina maana huwezi kujibu hoja zilizotolewa na mwana JF mwenzio mpaka utoe maneno ya shombo? Huoni kuwa unaonekana kama huna hoja ya kuhoji katika hoja zake. JIPANGE kwenye kudadazua hoja za wezio.ungekua unaelewa maana ya kuzungukwa usingeleta hii ramani yako uchwara.
pia RUSSIA anaihitajia zaidi UKRAINE kuliko hao members wa NATO sababu akiibeba UKRAINE angalia atakavyokua karibu zaidi na wanachama wa NATO huku RUSSIA kidogo ikiwa mbali kwahio kama itatokea vita mbeleni inatakiwa kwanza muanze kupambana na RUSSIA akiwa yupo UKRAINE kabla yakumfikia RUSSIA akiwepo kule RUSSIA.kwenyewe
Tumekubaliana kuwa hatutaki majeshi ya NATO wala silaha zao karibu na eneo letu. Sasa inakuaje tena tunaziacha nchi za NATO tunazopena nazo mpaka ziendelee kutamba na jeshi la NATO pamoja na silaha zao, huku sisi tukizunguka mbuyu kwenda kumpiga yule ambae sio mwanachama wao. Nini kinachotufanya tuogope kuzishambulia hizo nchi zinazohifadhi silaha hatari na jeshi la NATO karibu na mipaka yetu?

Kama anaepigwa sio mmoja wetu hilo halina tatizo. Tunasubiri ganda moja tu la risasi (achilia mbali kombora) liangukie kwa mmoja wetu, ili Putin wenu akawe mkimbizi China au Iran. Japo najua Putin mwenyew hawezi kufanya huo mchezo, maana anajua kitachomkuta ndo maana inajitahidi kufanya mashambulizi kiakili, ili asije kuangusha kombora au ganda la risasi katika moja ya nchi wanachama. Si unaona anavyopita mbali kama hazioni vile.Unapoambiwa Fanya Hivi Wewe Ukakaidi Utapigwa Tu![]()
Kama anaepigwa sio mmoja wetu hilo halina tatizo. Tunasubiri ganda moja tu la risasi (achilia mbali kombora) liangukie kwa mmoja wetu, ili Putin wenu akawe mkimbizi China au Iran. Japo najua Putin mwenyew hawezi kufanya huo mchezo, maana anajua kitachomkuta ndo maana inajitahidi kufanya mashambulizi kiakili, ili asije kuangusha kombora au ganda la risasi katika moja ya nchi wanachama. Si unaona anavyopita mbali kama hazioni vile.
View attachment 2137378



Viva Russia Viva Putin




Wewe unataka tusemaje na wakati anaepigwa sio mmoja wetu? Sisi tumeshakuwekea silaha zetu na jeshi letu la NATO hapo mlangoni kwako (mpakani) haya sasa fanya unachoweza tuone. Kupitia hiyo ramani, hebu angalia tulivyokuweka kati, tunasubiri uje ujaribu kuziondoa hizo silaha zetu na jeshi letu hapo mlangoni kwako tukuoneshe kazi. Achana na huyo bwana mdogo ambae sio mwenzetu na hausiki chochote na sisi. Silaha na jeshi tunavyo sisi huku mlangoni na dirishani kwako, njoo uthubutu kuziondoa uone na ujue kwanin America inaitwa Super Power.Haya kapiga Ukraine sasa mnasemaje ingieni muone si alisema
Kama hataelewa na hapa ulivodadavua nitaamini Tanzania bdo vichaa Ni wengiHii unazungumzia ww ni hisia, lakini hii nazungumzia mimi ni uhalisia, so hisia na uhalisia ni vitu viwili tofauti. Ngoja nikupe mfano.. Mfano rafiki yako anaishi kijijini, hapo kijijini amezingirwa na nyumba zingine nne za majirani zake, ambapo nyumba tatu za mwanzo ni za ndugu wa familia moja. Rafiki yako ana mifugo yake ya mbuzi anafuga. Jirani yake wa karibu ambae ni nyumban namba moja (kwa vile ana ndugu yao ni kiongozi mkubwa serikalini) anatumia chance hiyo kuchukua mbuzi wako mmoja bila taarifa (yani anaiba) anamchinja anamla. Rafiki yako anapata taarifa kwamb jirani yake namb moja amekula mbuzi wake, lkn anamezea bila watu kujua kuwa kamezea kwa vile jirani huyo ana ndugu yake kiongozi serikalini au kwa sababu zipi. Siku zinapita, baada ya muda jirani yake namb mbili na namb tatu wote wanaiba mbuzi wake kwa nyakati tofauti, kumbuka hawa namba 2 na tatu ni ndugu wa familia moja na yule mamb 1 alieiba kwanza.(hawa nao wakiwa na kiburi kwamb wakiguswa tu na mwenye mbuzi ambae ni huyo rafiki yako watakwenda kushtaki kwa yule ndugu yao ambae ni kiongozi wa serikalini. Rafiki yako anapata taarifa ya kuwa jirani zake namb 2 na namb 3 pia wamemuibia mifugo yake, na kwa hawa pia anashindwa kuchukua hatua, haijulikana ni kwa kumuogopa huyo mwamba wa serikalini au vipi siku zinapita rafiki yako anamezea. Mara ya mwisho anasikia tetesi kuwa na jirani yake namb nne, na yeye anapanga kuiba mbuzi wake kama walivyoiba hao waliopita huku huyo namb 4 akiwa hana undugu wa moja kwa moja na ofisa yoyote serikalini. Ghafla rafiki yako anakwenda kwa yule jirani namb nne na kuanza kumshambulia kuwa anapanga kumuibia mbuzi wake huku akiwa kazipita zile nyumba tatu zilizohusika na wizi wa mbuzi wake, tena zikiwa zimeanika ngozi za wale mbuzi walioiba mbele ya nyumba zao. Rafiki yako anaziona ngozi lkn anaamua kwenda kudili na huyo ambae bado hajaiba. Je watu wenye akili wakisema kuwa rafiki yako anawaogopa wale walioiba na kumuonea yule asieiba kwa vile hana wa kumtetea watakuwa wamekosea? Mfano huu namaanisha rafiki yako ndio Mrusi, majirani namb moja hadi tatu ndio hizo nchi za NATO zilizomzunguka rashia, ngozi namaanisha silaha na jeshi la NATO katika hizo nchi, na huyo ofisa mkubwa wa serikalini amaanisha ni Marekani. Kitendo cha Marekani na vijana wake kutoka huko walipotoka na kuja kuweka kambi na jeshi lake hapo mbele ya dirisha na mlango wa Rushia tena bila kambi hizo na jeshi hilo kuguswa na Rashia ni cha kujiamini sana. Haikuwahi kuwezekana, haiwezekani na haitawezekana Rashia kuthubutu kuweka kambi zake za kijeshi katika nchi zinazoizunguka Marekani, japo huko nyuma alijaribu kumtumia Cuba lkn vikwazo vidogo tu walivyokumbana navyo vilisababisha Cuba yenyew iombe poo kwa mtu mzima (USA) Usicheze na hili taifa ambalo dunia yote ipo katika kiganja chao cha mkono. Kuiga style ya Marekani wanavyoendesha dunia ni sawa na kumuiga tembo kun.ya. matokeo yake utachanika mk*nd bure.
Hoja sahihi kabisa hii.Time inazungumza hichi kilichofanywa na Mmarekani kuchange gear hewani kumuachia msala UKRAINE Kitaendelea hata hizo nchi mnazoziita wanachama hivi tu tujiulize swali la msingi ule uvamizi angefanya nchi kama Japan Mmarekani asingepeleka jeshi Ukraine kweli...? hapa tusipepese maneno hata Hata siku akizingua Poland Mrusi akaivamia patatoka vijisababu kuwa oooh kwa kuwa mwanachama mchanga hatuwezi kupeleka jeshi hafanyi hivyo Mmarekani kwa kubahatisha anajua afanyalo anamjua Mrusi tangu dahali huko kwani mara ngapi Mmarekani anapeleka majeshi yake kwa zisizokuwa wanachama wa Nato au mnajisahaulisha kwa nini hapeleki Ukraine anajua moto wa Mrusi
🤣🤣🤣🤣 Kweli mkuu, hawa vijana wengi wanabisha bila kujua wanachobishia ni kitu gani. I mean ni bendera fata upepo.Kama hataelewa na hapa ulivodadavua nitaamini Tanzania bdo vichaa Ni wengi
Mzee kwa uelewa huu bora use unakomeent kule kwenye thread ya zumaridiningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!
Asante mkuu kwa kumuweka sawa jamaa, nahisi ni kwa vile hana fact za kutosha kuhusu nchi anayoitetea.Mkuu ina maana huwezi kujibu hoja zilizotolewa na mwana JF mwenzio mpaka utoe maneno ya shombo? Huoni kuwa unaonekana kama huna hoja ya kuhoji katika hoja zake. JIPANGE kwenye kudadazua hoja za wezio.
Kwani kakatazwa kujiunga. Haiwezekani na sasa hivi ndio yupo vitani hawawezi thubutu maana kufanya hivyo kutasababisha machafuko zaidi kulingana na maelekezo ya NATO.ningekuwa mie Rais wa Ukraine yaan kesho tu ningejiunga NATO!