Huo ndiyo ukweli,kifaa kama hiki kinahitaji huduma mbili muhimu sana,Fedha (sio za mawazo) na Dushelele la kufa mtu vinginevyo tutakataza wasijiite majina yoooote.Hivi kwani KALUA ana Trademark nalo??Huyu mshangazi kama sio mhaya, sijui. Ana figa ya hatari. Hapa aliyepoteza ni mme wake haya yote ya sijui usitumie jina langu ni mahasira yake mwenyewe. Kama alikuwa haudumii hiki kifaa kitandani ipasavyo ana haki ya kumegewa.
Sifahamh chanzo kikubwa cha ndoa hii kuvunjika. Ika nasema tu katika sehemu ambazo siyo salama kwa mwanamke aliyeolewa kuwepo, basi ni kule Dodoma sehemu inayoitwa Bungeni. Wanawake huwa hawasemi tu, lakini ukweli ni kwamba IT'S JUST SCARY ambacho vigogo wanawafanyia wake za watu kule Dodoma. JUST CRAZY,.....
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.Ndoa zinavunjika sana Mkuu hata kwenye hili wimbi la Wafanyakazi wa Serikali kuhamia Dom iwe anayehama ni KE/ME
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.
Ukiona mke wako anasema anakuwa mbunge mzee hesabia hasara tu. Kupona kutomegwa siyo kazi rahisi, kiufupi ofisi za umma kubwa kubwa hizi wanawake kupona ni ngumu sana.
Sio na kila mtu lakini,ni kwa wale tu wenye access kama vile slowslow,kibajaji,msukuma and co.yaani huko dodoma mavikao kila siku uwe na mke cute hivi kuna mda atashindwa kukwepa mishale tuuu,,,hapo centre wadada na wamama wa lile jengo wanaliwa sana