Biblical facts

Biblical facts

Unampigia chapuo huyo Chionda kila sehemu au ndo wewe,mambo yote ya kiimani ni nadharia either uamini au usiamini lakini siyo kuforce hoja zako sijui bla bla bla biblical facts wakati ni watu wameandika na kila mtu ana tafsiri anavyoona.
 
Ndio akili za Jews (not necessary Jesus, but a Messiah).

And Netanyahu is trying to be ‘have a go hero’ if you understand what a Messiah means to Jews and why they dont approve of the last (being sensitive, for the sensible audience).

Nonetheless msingi wake ni Arabic culture.
THIS IS THE TRUTH, WETHER U LIKE IT OR NOT ; JESUS IS COMING AGAIN
 
Jesus was an Arab so where his apostles, except for Paul (he was Turkish).

Ndio ujue hata historia ya dini wengi humu hamjasoma.

Old testimony ni Arab Tales.

Do your research and argue.

We Africans are just stupid people.

Dini yenyewe hujui, zaidi ya ujinga mtupu.

Kuelewa mzozo wa Israel ni complicated.

Sio swala la waarabu ni ideology ambayo complicated,
Akili ndogo sana umetumia kufikia hii conclusion, Yesu hakuwa Mwarabu, kwanza alikozaliwa haikuwa nchi ya waarabu, lugha aliyozungumza Kiaramaic hakikuzungumzwa na waarabu
 
Kabla sijaenda mbele sana , naomba ufafanuzi wa Subject header yako ambayo inasema..../inadai

Biblical facts?

Kwamba maudhui ninayokutana nayo yatakuwa katika muktadha wa kibiblia, kwamba, kutakuwa na walau reference za matukio, mstari kutoka kwenye biblia yenyewe-yani labda hata maandiko kutoka Agano la kale na Jipya.

Major Q. Sijaona hizo facts, kwenye maudhui yako na badapa yake nimekutana na maneno ya 'kudhalilisha' najiuliza hizo ni Biblical facts? I doubt.

au ulimaaniisha

Ancient facts?
======

Africans are Stupid?

Chiondo is an African?

Is Chiondo Stupid?

If Yes, then his documentaries are stupid and worthless because he is stupid as a people

Major☝🏿 hoja yangu inakuwa mfu. Na ni kwa sababu hoja yako imeegemea kwenye u 'bias' and or false generalisation.

rejea Juu. Naomba ufafanuzi. Nimejichanganya wapi?
Kinachokera ni sisi waafrica kutoelewa Jews ni nani. Ukisoma ili jukwaa ni ujinga mtupu.

...pili, Kwanini ukereke? Tukiwajua jews ni nani, kipi kitatokea.

Utaacha kukereka?

Waafrika tutafaidika-tuta athirika vipi?
 
We jamaa unajionaga unajua sana mambo ya mashaririki ya kati lakini unachoandika ni mashudu matupu
 
Pumba tupu
We ndo hujafanya deep research kwa taarifa Yako Jews were black people period.
Hao wavamizi ndo maana makatili hawana bloodline takatifu.
Chimbuko la maandiko yote takatifu ni Afrika pale Misri enzi hizo unaitwa Khemet au Khamit uzao wa Ham au Kham yaani rangi nyeusi

Utumwa wa dini za kuforge unakuforce kuwa bias ili tu umtukuze mwarabu, fool.sh
 
Back
Top Bottom