Biblical facts

Biblical facts

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,491
Jesus was an Arab so where his apostles, except for Paul (he was Turkish).

Ndio ujue hata historia ya dini wengi humu hamjasoma.

Old testimony ni Arab Tales.

Do your research and argue.

We Africans are just stupid people.

Dini yenyewe hujui, zaidi ya ujinga mtupu.

Kuelewa mzozo wa Israel ni complicated.

Sio swala la waarabu ni ideology ambayo complicated,
 
The middle East crisis ni mgogoro ambao umejaa ushabiki wa kidini na Umagharibi na umashariki.
 
JESUS IS COMING AGAIN
Ndio akili za Jews (not necessary Jesus, but a Messiah).

And Netanyahu is trying to be ‘have a go hero’ if you understand what a Messiah means to Jews and why they dont approve of the last (being sensitive, for the sensible audience).

Nonetheless msingi wake ni Arabic culture.
 
The middle East crisis ni mgogoro ambao umejaa ushabiki wa kidini na Umagharibi na umashariki.
Msingi wake ni kuelewa Jewish ideology na imani yao kuhusu hiyo ardhi.

Changamoto zao za awali na kwanini wako tayari kwa lolote.

But then humanity knowledge has progressed for a Messiah reasoning.

Jews ideology in heavenly being is a problem and are committed.

Kinachokera ni sisi waafrica kutoelewa Jews ni nani. Ukisoma ili jukwaa ni ujinga mtupu.
 
Like seriously read or watch educational documentaries you people.
 
Msingi wake ni kuelewa Jewish ideology na imani yao kuhusu hiyo ardhi.

Changamoto zao za awali na kwanini wako tayari kwa lolote.

But then humanity knowledge has progressed for a Messiah reasoning.

Jews ideology in heavenly being is a problem and are committed.

Kinachokera ni sisi waafrica kutoelewa Jews ni nani. Ukisoma ili jukwaa ni ujinga mtupu.
Unacho sema ni ukweli kabisa hawa watu Wana misingi ya Imani ya ajabu sana,nadhani bwana yule wa Ujerumani wa enzi za NAZI aliwajua vema na tabia zao ndo maana Ali deal nao vibaya mpaka sasa ni historia wasio taka kuisikia.

Huu mgogoro ni zaidi ya Imani kama wengi wanavyo faham hasa wale mashabiki wa zile Imani za dini kuu mbili wa Afrika.

Napenda ulete Uzi kuhusu Jews ili tupate kuongeza maarifa zaidi
 
Hapo mpaka wakubalu basi sio leo ,Africans wengi akili za matope kupenda kushabikia kils kitu.
 
Unacho sema ni ukweli kabisa hawa watu Wana misingi ya Imani ya ajabu sana,nadhani bwana yule wa Ujerumani wa enzi za NAZI aliwajua vema na tabia zao ndo maana Ali deal nao vibaya mpaka sasa ni historia wasio taka kuisikia.

Huu mgogoro ni zaidi ya Imani kama wengi wanavyo faham hasa wale mashabiki wa zile Imani za dini kuu mbili wa Afrika.

Napenda ulete Uzi kuhusu Jews ili tupate kuongeza maarifa zaidi
Watanzania sio wapekuzi.

Kawaida sina tabia ya kumshabikia mtu kama mimi mwenyewe sijajifunza.

Kwa jamii yetu mtu ambae, kafanyia research haya mambo’ ni Chionda

Kuelewa anachoongea inataka utumie masaa mengi sana kujifunza kwenye documentaries, sema Chionda ana kichwa chepesi (kunizidi) hawezi tu kusimulia kama academic (ila depth).

Kumueshimu Chionda inataka uwe mfuatiliaji wa hayo, documentary ngapi inabidi uangalie (ni nyingi) Ndio uwezi jua jamaa kafuatilia hayo mambo na ni (Genius).

Hayo ya Jews yapo wazi, kwani huko Iran unadhani IDF wanaweza infiltrate bila ya Iranian Jews. Hiyo attack ya juzi control Center tunaambiwa ulikuwa ndani ya Iran.

Binafsi naelewa hiyo vita ni ngumu kwa uelewa historically na ideology ya Israel, kinachonikera ni mataahira wa hili jukwaa kutoelewa hata hao wa Israel ni watu gani na hata hawajui vita yao halisi,
 
Dr Mambo Jambo anasemaje kwanza Mkuu?
Kiranga pia huhitaji logics/facts scientifically si ishu za kiimani/spiritual issues bila ya empirical evidences, yupo sahihi au hayupo sahihi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mimi nimeweka facts, ni jukumu la mtu mwingine la mtu mwingine sasa kuni-prove otherwise.

I can assure you, he won’t succeed.

View: https://m.youtube.com/watch?v=UIimWL8wEs8&pp=ygUHY2hpb25kYQ%3D%3D

Na kumuelewa Chionda kwenye hiyo interview naweza kukuletea documentaries za masaa zaidi ya ishirini ujiulize huyu Chionda hizi info kazifoa wapi au kusoma kitabu gani chenye accumulated knowledge.

Vinginevyo mimi sio mtu wa kuongea tu, bila ya kujifunza kwanza,

Na ninaposema waanzilishi wa monotheism niwaarabu, Jews asili ni waarabu na wachangiaji wa hili jukwaa hawajui vita ya Israel wengi hawajui ideology yake. I mean it.

Vinginevyo mleta anae hitaji elimu
 
Dadavua japo kiufupi, huyo Kiondo anahitimisha vipi hiyo vita Israel vs Iran kwa jinsi ulivyomuelewa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Dadavua japo kiufupi, huyo Kiondo anahitimisha vipi hiyo vita Israel vs Iran kwa jinsi ulivyomuelewa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Chionda alikuwa anaongelea chimbuko la dini mpaka ‘Constatine’ alipoikuta; kabla ya yeye Romans walivyokuwa wanaamini miungu yao ni viongozi wao.

Anaenda mbele anachambua sababu za Martin Luther.

Anaweza simulia mambo ya nyuma ya mkutano wa kwanza wa kutengeneza biblia. Wahusika, changamoto ya kuchagua vitabu.

Na mikutano yote ya mbele hadi kupatikana kwa King James Bible.

Anaweza simulia hadithi za zama ancient Egyptians, kipindi cha kina kina Plato.

The guy is just eclectic mpaka unajiuliza hivi huyu mtu hii knowledge kaitoa kwenye kitabu gani kimoja.

Vinginevyo you have to watch a lot of documentaries to appreciate his knowledge.

Naongea kwa ufupi tu anajuwa what transpired na namna kanisa lilivyohakikisha kuna dini moja, Islam ilivyo ibuka, mzozo uliofuata.

Chionda ni Genius (kwa watu ambao tunapenda kujifunza hayo mambo) kuheshimu uelewa wake na amount of documentaries tulizoangalia yeye hivyo vitu vipo kichwani,

He is just unpolished.

Tukirudi hapa kwenye uwanja wetu wa ukipata togwq bwege mnyanyase swali moja tu nimeuliza asili ya Jews ni waarabu (sijaona huyo wa kubisha).

Sasa ndio watamuweza Chionda kweli alivyo na miakili.
 
Naweza kupinga hoja hizo hizo iwe kwa kutoa changamoto au kutaka kuelewa zaidi. Bado nipo katikati kwa hoja za huyo Kionda maana hana tofauti na anayeamini au asiyeamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hizo documentaries ziliandikwa na Watu na huwezi kujiridhisha hao waandishi walikuwa na lengo lipi kuweka historia ya dunia kabla ya kuumbwa, ilipo sasa na itapokuwa miaka maelfu na maelfu ijayo kwa maandishi ya ukweli au uongo.

Kipimo gani maalum hudhihirisha hizo documentaries siyo fiction mbali na kuzisoma na kuzizingatia jinsi zilivyoandikwa?

Hicho kipimo chenyewe kilifanyiwa utafiti upi, wapi, muda gani, kwa njia zipi na akina nani haswa hadi kukiamini hakitakuwa na mapungufu yoyote ya ukweli kuthibitisha documentaries juu ya historia ya Wayahudi, Waharabu na hao Waajemi hadi zikubalike ni sahihi 100%?

Chionda sio wa mzaha-mzaha

Kumuelewa inataka muda wa kusikiliza biblical scholars and religious anthropologists.

Sasa biblical scholars awasomi ‘biblia’ kama unavyoisima wewe kwa kutafuta verses za ku-ku motivate (Chionda yote hayo ana yajua) jamaa akili kubwa.

Wewe baki na imani, hayo mengine unayouliza majibu yake inataka uwe open minded.

View: https://m.youtube.com/watch?v=cp72TxTTtxw&pp=0gcJCdgAo7VqN5tD

Anza na hiyo soft knowledge (weka udini pembeni kama lengo ni kuelewa).

Baada ya hapo inabidi nikupe documentaries zingine kama 20 za biblical scholars and anthropologists ili uweze jiuliza kama mimi, huyu Chionda hii akili kaitoa wapi kirahisi hivyo.

Vinginevyo vise-versa msikikize halafu fanyia research majibu

Simpi sifa bure ‘Chionda’ binafsi nasikiliza sana hizo documentaries kuweza kuwa na uwezo wa kuelezea kama Chionda sio shughuli ndogo.
 
Naweza kupinga hoja hizo hizo iwe kwa kutoa changamoto au kutaka kuelewa zaidi. Bado nipo katikati kwa hoja za huyo Kionda maana hana tofauti na anayeamini au asiyeamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hizo documentaries ziliandikwa na Watu na huwezi kujiridhisha hao waandishi walikuwa na lengo lipi kuweka historia ya dunia kabla ya kuumbwa, ilipo sasa na itapokuwa miaka maelfu na maelfu ijayo kwa maandishi ya ukweli au uongo.

Kipimo gani maalum hudhihirisha hizo documentaries siyo fiction mbali na kuzisoma na kuzizingatia jinsi zilivyoandikwa?

Hicho kipimo chenyewe kilifanyiwa utafiti upi, wapi, muda gani, kwa njia zipi na akina nani haswa hadi kukiamini hakitakuwa na mapungufu yoyote ya ukweli kuthibitisha documentaries juu ya historia ya Wayahudi, Waharabu na hao Waajemi hadi zikubalike ni sahihi 100%?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Chionda anajua sio kidogo
 
Yesu hakua mwarabu, Yesu ni Myahudi kutoka katika kabila la Yuda, kabila hilo ndio katoka mfalme/nabii Daudi, mfalme/nabii Suleiman na ndio kabila hilo hilo anatokea PM wa sasa wa Israeli bwana Benyamini Netanyahu; Paul hakua Mtakish kama mleta uzi anavyo sema, Paul alikua Myahudi/Muisraeli kutoka katika kabila la Benyamini. Mleta uzi ningemuelewa kama angesema hivi, "Rangi ya ngozi ya Yesu ilikua ya aina fulani, black, white or brown..." ningeelewa lakini sio kumuhusisha na utaifa wake ambao upo wazi sana.
Kwenye dini zote za Abrahamic, manabii wote wanao aminiwa na dini hizo ni Wayahudi, kwa Waislam yupo nabii mmoja tu ambaye sio Myahudi nae ni Mohammed, wengine wote (including Waislamu, manabii wao ni kutoka hapo kwa bwana Netanyahu.
 
Back
Top Bottom