What's the point?
kwani kina MOD wao ni Walokole? hii ni kichekesho sio ukweli ni vunja mbavu tu Mwache anajifurahisha moyo wake tu huyubora ungetumia mfano wa kitu kingine but not bible.nitashangaa kina mods wakiiacha
bora ungetumia mfano wa kitu kingine but not bible.nitashangaa kina mods wakiiacha
Jamani, I think its about time watu tuwe tunaelewa maana ya haya majukwaa. Hili ni Jukwaa la Utani, so chochote kilichopo ni utani usichukulie serious ki hivyo, utapasuka bureeeee.........
Umenifurahisha sana uliyeleta mada, unaonekana kirietivu kidogo
Lazima watu wajue aina ya utani wanaoleta. Tunashukuru ni uhusu bible kingekuwa kitabu kingine ingekuwa shughuli hapa lazima utani uambatane na heshima. Angetaniwa mzazi wako ungejisikiaje?
:A S angry:
Hivi mtu haruhusiwi kutofautiana na maoni yako??!!!!!!!!!! Watu wengine mnashangaza sana unajua.........Jibu swali wat is the point mimi pia bado sijapata point ya huyu bwana.Kama umeona haikufai IPOTEZEE TU MKUU SI LAZIMA UCHANGIE
Hivi mtu haruhusiwi kutofautiana na maoni yako??!!!!!!!!!! Watu wengine mnashangaza sana unajua.........Jibu swali wat is the point mimi pia bado sijapata point ya huyu bwana.
hahahaha haya mkuu nimekusomaNiliposoma maandishi yako ilibidi niende kumuuliza yule panya kule Manzese, kwa sababu niliona si vema kumjibia wakati sio mimi niliekula biblia.
Nikamuuliza 'whats the point? , yule panya akanitazama kwa kujiamini sana kisha akaniuliza, ni swali lako au kuna mtu unamuulizia ili ukampe jibu?...Nikamwambia kuna mtu anaitwa Da Womanizer.
Akaniambia rudia hilo jina tafadhali...nikajibu Da Womanizer.
Akaniambia mwambie Da Womanizer asome Biblia Isaya 4:1 kwa ajili ya jina lake ndipo atajua 'what the point is'.