Biblia: Dawa thabiti ya mapenzi


Absolutely perfect....cheers my man!!!
 

Kumpa muda itakuwa vigumu zaid ya weekend na muda wa kulala, vinginevyo njaa itapiga hodi
 
√ Yeye ni kiumbe dhaifu ila kinatawala
√ Ni chombo cha uzazi na mmiliki halisi na halali wa watoto wako.
√ Chombo cha starehe
√ Stress generating machine

Duh ni CHOMBO..?! Bujibuji
 
Last edited by a moderator:

Shikamoo bujibuji,darasa lako zuri sana,vipi somo utalirudia tena lini mkuu???.
 

kweli mkuu,umegusa penyewe japo sio wote,km mke wangu yupo poa kabisa anajali Wazazi wangu,Ndugu zangu,rafiki zangu na jamaa zangu,Asante Mungu kwa kunipa mke Mwema.
 
Hapo Umemaanisha Wenye Mapenyi Bubu Au?.

Kwa Sbb Kwa Wenye Mungu Huwa Tunafundisha Kupanga Cku Za Kukutana,ivyo Itakusaidia Cku Iyo Kutokuwa Bize,alafu Kila M2 Anajua Kabsa Toka Asubuh Kwmb Leo Ni Cku Ya Ndoa, Ivyo Hujiandaa Na Mwili Nao Unajiandaa Vzr. By Pastor Illovo/Emmanuel
 
Yap bt lazima mapenz ya Mungu yatimizwe na sio mapenz yetu sisi
 
"Women are second God's MISTAKES" by fredrich.
Kosa alilolifanya MUNGU wewe utawesza kuliepuka...!! Tena binadamu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…