Bibi wa miaka 67 asimulia alivyosifiwa kuwa na mapaja mazuri kisha kubakwa

Haya yote hawajawahi nipata. Nasimama upande wa sheria ni ngumu ku prove kwamba ni yeye aliba dr alipima? Alipima nini? Sperms akakuta ni za mlalamikiwa?

Kama amefqnya hilo kosa apewe adhabu yeyote, mimi nilikuwa nawaza upande wa pili hii kitu ni ngumu kui prove.ukiachana na bibi kuaema ni yeye ushahidi mwingine ni ngumu.
Do you know the meaning of rape?
 
Hiio hajasingiziwa mkuu huyo Mangi kala mzigo wa Bibi pasina shaka yoyote kila kitu kipo wazi it was proved beyond reasonable doubt hata akikata rufaa bado atakutwa na hatia tu, tatizo udomo zege ulimtawala madomo zege ni janga la taifa, mtu hajui kumtongoza mwanamke akamwelewa anaishia kubaka kinguvu tu jambo ambalo sio sahihi acha avune alichokipanda

Umeelewa au nianze upya?
Kuna ushahidi mwingine kumbe zaidi ya huo hapo ni sawa, wakati mwingine tunajudge kutumia upande mmoja. Labda kulikuwa na vielelezo vingine au eyewitnesses walikuwepo pia.

Udomo zege kweli unawaponza wengi, wasipobaka wazee, viwete, watoto, vichaa wanawaingilia wanyama.
 
Nyege hazijawahi kumuacha domo zege salama
 
Yes! if there is no consent / agreement = rape
Basi km ulikua hujui kumpiga mwanamke ngwala au kumgusa tu kwa dhumuni la kuashiria mnasaba wowote wa kingono au kumfanyia ishara zozote za kingono bila idhini yake tayari ushabaka mvua 30 zinakuhusu akifungua mashtaka zidi yako sio lazima umuingizie uume kwenye sehemu zake nyeti eti ndio umebaka

Ushaelewa au nianze upya?
 
Hili nalijua miaka 10 iliyopita,wewe bado ukiwa f2B. Ongelea uzi ulivyoandikwa na sio hisia zako. Tofauti na hapo wanaume wote mungekuwa behind the bars kwa kubaka, si mnagusaga wanawake bila idhini? Na ishara za ngono si mnafanya? Hii topic iishie hapa😁
 
Ndio nimekufafanuliwa wewe mwanamke ujijue umeshawahi kubakwa mara ngapi ila haukuamua kufungua mashtaka km alivyofanya Bibi maana nilikuuliza umewahi kubakwa ukawa unagwayagwaya unapuyanga yaweza ikawa hata leo hii umetoka kubakwa vya kutosha mda sio mrefu au naongopa?

Itoshe kusema ushaelewa lecture basi km ni hivyo case closed
 
Una kichwa mbovu aisee sijawahi bakwa wala sina any sexual harassment..nachangia mada, ninajua upande wa sheria hii mada ina mtizamo tofauti. usinilazimishe unacho kiaamini na mimi nikiamini.

Inshort hii issue iko complicated you can't prove it with just words. huo ushahidi wa dr ati aliingiliwa kimwili? Na nani? Alipima DNA akakuta sperms ni za mlalamikiwa? Au dr alichungulia tu na kutoa majibu?

Btw, i have my own definition of law, law are rules and regulations whether bad or good.
So hata hiyo hukumu yaweza kuwa nzuri au mbaya, ni kutokana na mtizamo wa mtu.
Note: sitetei upuuzi wa kubaka afungwe kama alifanya. Ninachopinga ni huo ushahidi ambao unapwaya. Unless mleta mada kaandika nusu nusu.
 
Kipimo cha manii?
Rape ushahidi wake mkuu ni penettation ambayo ndio inathibitiswa na Dr, kipimo cha manii sio ushahidi unaoweza jitoshereza. Hapa huyu jamaa akate rufaa huenda akachomoka naona kuna room ya hilo
 
Kama mahakama imethibisha pasi na shaka wewe ndio ulikuwepo na ukampiga mtama kama inavyoelezwa na Dr akathibitisha kulikuwa na Penetration unakula mvua mambo ya DNA sahau.

Note: DNA sio kitu kinachoproove rape
 
MCHAGGA NA MAPAJA????????????????
INAFIKIRISHA SANA HIII
LABDA AWE AMECHANGANYA DAMU NA MNYAKYUSA OTHERWISE NI UOOOOOOONGO KAMA UOOOOOONGO MWINGINE

Tatizo lako umekariri
 
Back
Top Bottom