Bibi na bwana

Ninadj

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
8
Reaction score
9
Wapenzi wakiwa katika harakati ya kula chakula cha usiku,jamaa akapata swali hili;

Bwana:honey hivi kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi?Demu kimya
jamaa akauliza mara ya pili,demu bado kakomaa vile vile,jamaa akauliza mara ya tatu,
demu bado akawa kimya.jamaa akawaka "Honey una nidharau kiasi hiki?nakuuliza hutaki
kunijibu siyo?Demu akajibu :Hee honey si ndio nawahesabu kimya kimya!!nilikuwa nishafika 89,
ngoja nianze upya sasa!!
Jamaa akazirai.
 
Ndo dawa yake. C vizuri kuulizia mambo ambayo unajua huwezi kupata majibu yake sahihi
 
jamaa nae angemwambia....aaaaaaaaaah nilijua ushafika 209.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…