Bibi na Babu

Mungu ni mwema sana................
nimewapenda sana manake kwa umri huu hawa ni zaid ya marafiki, hakuna anyeweza kuish bila kumuona mwenzie pembeni. hawa kwa umri walioish pamoja ni zaid ya ndugu waliozaliwa kwenye familia moja
 
Mi ndo nna 38,bado nipo nipo sana
 
Hii naona ni kumbukumbu ya arusi yao toka ujana namna ya kuitahamini na kuinzi na kuijali sana hii ndoa mpaka hapo walipo fikia ni umri mrifu sana na siyo kama siku hizi maana leo anaoa muda anawacha na vitoto na tena anaoa na ana acha na vitoto na ndo maana kunakuwa na mitoto ya mitaani na namna wanavo teseka kwa kukosa malezi ya baba na mama na kwa hii picha hebu na sisi tujirekebishe na mungu atatusaidia kwa mateso wanayoyapata hawa mayatima
 
Daah hawa wazee ni mfano wa kuigwa. Naamini hadi kufikia umri huo wamepitia mengi magumu, lakini bado walisimama pamoja, wakachukuliana mizigo na hadi leo wapo hapo. Ashukuriwe Mungu kwa maisha yao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo nipo na mke wangu mpenzi Matege
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…