Na pia ndo mtaji wa FisiemNa kwa matusi +,shombo pia wamo
naona Dela la chama CHA majipu
Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai
Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai
Haya maneno yako yananitia shaka sana: "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai"
Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai
Tafsiri yakoHaya maneno yako yananitia shaka sana: "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai"
Hivi wewe unamtusi bibi yako, ushawahi kumuona akijinafasi na babu yako! Ebo, au ulikuwa unakula chabo wakati babu yako akiwa shughulini halafu unamlinganisha na huyo bibi kwenye hiyo picha mnato!
Pole sana mkuu ila sisi tunafasiri unachaandika sio vinginevyo, maneno yako kama "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai" yana tafsida kubwa sana kwa wasomaji. La, kama ulimaanisha vinginyo utanisamehe. Hilo ni jicho la mtazamo wangu.Tafsiri yako
Hisia zako
Kelele zako
Povu lako....
Ni juu yako !!!!
............Pole sana mkuu ila sisi tunafasiri unachaandika sio vinginevyo, maneno yako kama "Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai" yana tafsida kubwa sana kwa wasomaji. La, kama ulimaanisha vinginyo utanisamehe. Hilo ni jicho la mtazamo wangu.
Poa!............
Haina noma
Hapo roho za viongozi wa fisiem zipo kwatu maana wanajua hakuna wa kuhoji uovu wao baada ya kugawa maderanaona Dela la chama CHA majipu