Bibi mkali wa kigodoro !!

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,822
Reaction score
126,643

Cheki bibi wa Uswaz alivyo fit sio km wale mabibi zetu mayaimayai
 
Bibi kajivunjia mwenyewe heshima.. nani kamtuma akate mauno hadharani namna hiyo?
Huyo hata akikupa ladhi inadunda!
Bibi wa Uswahilini huyo hadi ganja anapiga
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Bibi wa Uswahilini huyo hadi ganja anapiga
[emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kakulia uswazi ni mchaluko kwa kwenda mbele. Ukatize anga zake sasa, atakuchambua km biliani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…