The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,861
Eewaaaaaaaaaa..... [emoji109] chukua tano izowalikua analogia sasa hivi digitali
Walikuwa wakihofia maisha mapya ya kuishi na Me lakin hawa wa sasa unakuta mpaka anaolewa ashatembea nayo huyo bwana Mara nyingi kwaiyo hata siku ya harusi haoni jipya zaidi ya kufurahi kuingia kwenye list ya waliyo olewaZAMANI KIDOGO MIAKA YA 1999 kurudi nyuma MABIBI HARUSI walikuwa wakilia kwenye harus MATRON walikua na kazi za kuwafuta machozi adi leso tatu au nne...SASA HIVI MABIBI HARUSU, wanaimba, wanacheka wanacheza kwaito had viduku....NAHOJI TU, ...Kilichokua kinawaliza wazaman nini, na kinachowafurahsha wasiku izi ni nin?....kila mtu aniambie wazo lake.
Hurii = huliiKweli nimekumbuka mbali sana wazee wa zamani ulipokuwa hurii wanasema uyo malaya
[emoji106] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji106]Hurii = hulii