Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Umeongea ukweli kabisa, bidada anatamani muujiza utokee awahi ukumbini, bwana harusi anataman arudi nyumban kulalaTafsiri ya hii picha inaweza kuwa kwamba wadada wapo obsessed sana na harusi kuliko wakaka. Ndio maana biharusi yupo busy kuhakikisha wana wahi tukio wakati bwanaharusi hana habari
anajiandaa shughuli pevu ya baadae, ameshakunywa Viagra sasa akigusa kitu kingine chochote chenye kuhitaji nguvu kidogo tu ataharibu kabisaaaaa, iko so technicalI like her....bwana arusi amerelax hana shida
I like her....bwana arusi amerelax hana shida
anajiandaa shughuli pevu ya baadae, ameshakunywa Viagra sasa akigusa kitu kingine chochote chenye kuhitaji nguvu kidogo tu ataharibu kabisaaaaa, iko so technical
Mmmmmm!!
What.....
That ..