ya nini kudanganya kuwa unafanya kazi sehemu fulani....af pia huyo asubiri aolewe nawenye pesa wapo tu.....uboya huo we mchane kama uko hivi af uone kama kakupendaau la
tatizo hamkubaligi walala hoi,
sasa ili tuwapate lazima tuwaingie kwa swaga za kipapaa,
ukija kujua mie ni muuza genge ni too late na "utamu na urod@" ushatoa,