Bibi harusi atimua mbio katikati ya harusi

Kampuni ya mafuta kwani yeye chombo cha moto eg gari au pikipiki
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] hata mimi nikajua hivyo aisee
Aisee acha tu kumbe tendo la ndoa ni kufunga ndoa ?? Jamaa kaniacha njia panda au wengi wetu tunatumia hili neno ndivyo sivyo ? [emoji38][emoji38]
 
Ungekimbia katikati ya tendo la ndoa!!
 
Huwezi niambia tendo la ndoa halafu kumbe ni kanisani[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kichwa cha habari kinasisimua sana ingawa hoja inasikitisha, huyo hakuwa muolewaji ni after money
 

Wewe kweli kwa hiyo akili yako ungekimbia,
Haya Njoo PM utukane tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…