Wasukuma na Wanyamwezi waoneeni huruma wanadamu wenzenu? kama kilimo cha tumbaku hakilipi sio kosa la albino, ni kosa la kuwa na viongozi kama Joseph Msukuma, Na Prof. Maji Marefu. Kwanini mnawaadhibu waja wa watu kwa uvivu wenu wa kufikiri watani wangu? mbona makao makuu ya ndumba Sumbawanga na mji mkuu wa sayansi asili Tanga hawafanyi kama nyie? hebu jikomboeni na umasikini wa fikra, nyie ndo mnaofanya waafrika tuonekane tuna Intelligence Quontient Ndogo kwa mambo yenu ya kipuuzi na yasiyo na utu, na ndo mlifanywa ma-Cheap Labour ujerumani na uingereza. Nisameheni kama nimewakwaza watani wangu ila nilikuwa nakumbusha tu usalama wa ndugu zetu unaozoroteshwa na ufinyu wenu wa akili.