salaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
Not: kuwa wakala