Biashara

Biashara

UTEC

New Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu
 
Mtaji mdogo kiasi gani?, Maana kuna mishe nyingi ndogo ndogo, anyway anaweza akaanza na kuuza matunda (fruits) , viungo vya chakula au kuuza vitafunio kama ana vifaa vya kupikia na kuuzia
 
Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu
We ni mwanamke au msichana, kuna biashara ambazo ni nadra sana kuwakuta wasichana wakizifanya, ingawa wapo ila sio wengi...
 
Kama mtaji mdogo auze nguo za ndani chupi nzuri za cotton hereni nzuri cheni na bracelet huwa zinalipa na huitaji mtaji mkubwa
 
Back
Top Bottom