Biashara

Biashara

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Is daladala realy is a loss bussiness au watu wanaongea tu? Nimesikia you can make over 100,000tsh au even more kwa siku. Nataka kumshawishi baba anunue daladala. Anyone with an idea?
 
It is true ila unahitaji dereva na konda waaminifu na pia uwe mzoefu wa magari maana kuna wengine wanapiga kazi tu, hawakumbuki basic maintenance... good luck. But kwa nini umeleta hii post kwenyee Photo?
 
Duh! Haha, sorry, sio mzoefu sana wa Jf i'am a new member kwahyo bare with me kidogo, samahani sana.. My plan is tukachukue loan benki, na within a year tuwe tumeshailipa, is it possible?
 
How much is a new coster, not a used one nataka mpya
 
Duh! Haha, sorry, sio mzoefu sana wa Jf i'am a new member kwahyo bare with me kidogo, samahani sana.. My plan is tukachukue loan benki, na within a year tuwe tumeshailipa, is it possible?

A loan kwa biashara mpya kabisa mkuu, tena ngeni kwako!! Dont you think it is too risky? Uko mkoa gani?
FANYA RESEARCH YA KUTOSHA!
 
new coaster mkuu,unasema au unatania?new coaster ni milion 250 za kitanzania,hapo unapata coaster yenye engine ya landcruiser 1HZ.sasa utoe hela zote hizo halafu utegemee shs elfu 70 per day hailipi hata kidogo.
 
How much is a new coster, not a used one nataka mpya
Kwa mpya kabisa utashindwa kulipa. Bora a used one inaweza fika dar kuanzia USD 16 000 (pamoja na makaratasi yake yote). itaingiza almost 2000 pmth then ukiweza kutunza 1500$ kwa mwezi utalipa loan and interest baada ya 12 month...
 
Mzaz coaster mpya achana nayo kabisa asee,and as long as it iz a loan based investment risk ni even higher.......think of a used one mzaz.
 
Is daladala realy is a loss bussiness au watu wanaongea tu? Nimesikia you can make over 100,000tsh au even more kwa siku. Nataka kumshawishi baba anunue daladala. Anyone with an idea?

Swali lako ni zuri sana Mheshimiwa, lakini Jukwa hili ni kwa ajili ya Jamii Photos na siyo biashara. Jukwaa la biashara lipo, sijafahamu ni kwa nini hukulitumia, unatuchanganya.
 
new coaster mkuu,unasema au unatania?new coaster ni milion 250 za kitanzania,hapo unapata coaster yenye engine ya landcruiser 1HZ.sasa utoe hela zote hizo halafu utegemee shs elfu 70 per day hailipi hata kidogo.

Japo si jukwaa lake,bei hiyo kwenye red si sahihi.
 
mshkaji kasema ni mgeni na kaomba radhi kwa kuchanganya majukwaa...
my take...msameheni na mumsaidie kwa wenye idea ya biashara ya daladaala...anaweza kuwa na mawazo yake na kupitia swali alilouliza raia wanaweza mpa uzoefu tofauti na akaenda ifanya biashara hii kwa faida
 
Ndugu biashara hiyo inaweza kukulipa kama wewe unaamua kukaa na kukusanya hela....au uwe unakatisha shughuli zako three times in a day ku-monitor wafanyakazi(dereva na konda). Nimefanya biashara hiyo miaka 4. Nilikuwa na mabasi yanayohudumia Mbagala Ubungo, Mbagala Kariakoo na Mbagala Tandika...but niliishia kuuza mawili kwa throw-away price baada ya kutiwa hasara mara, dereva anaweka day worker,akisha pata fungu lake anaweza ku-egesha na jioni anakwambia ameshinda garage, nimekamatwa n so many execuses! Mimi ni mtu wa kusafiri pia, na sometimes madereva wakimdanganya mrs wangu hatujapata hela, na sometimes kama upo nje ya nchi ndo kabisa. Nilikuwa nikisafiri sitaki wajue, still, wanapokabidhi hela wanawezaa kuhisi haupo. So inalipa tuu, endapo wewe mwenyewe utakaa, au una mtu dependable kuwasimamia
 
Tsh 250 million for a coster!? Acha utani wewe.. Imekua lambrogini..
 
Btw Samahanini tena for not posting on the right thread.. Ni mshamba kidogo wa jamii forums, but i'm sure i'l get a hand on it in time.. Thnk you for your undrstanding..
 
Back
Top Bottom