Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Mmh hayo mashuka nayajua na wengi hawayatoi Uganda wanatoa hapo Cabs hapo siku ya sale jumamosi.Asante kwa ushauri.
Usichukie ndugu yangu.mie nimesema maana nina uhakika na hilo na sio wafanya biashara wote wanafanya havo.
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.
Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.
Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.
nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.

Sasa sio watu wote makanjanja...mimi nimekushauri tu..wala usijali sijakasirika naijua south sana na maduka yake ndio maana nimekwambia..maduka ya bei rahisi ni jet,mr price..ukitaka vitu vya nguvu ndio utachanganyikiwa kwa 3m utapanda ndege gani?kama fastjet kwenda na kurudi kama laki 4 kama utafanya booking mapema ukitaka saa ni kama 900usd labda na zaidi..na kilo za mizigo bado ujalipia..jitahidi uwe na mtaji mkubwa kidogo..uganda 3m utapata vingi kama mashuka ujapenda kuna mashati ya kiume trouser za kike na tops...achana na mambo ya sale ya cabs..mchana mwema kila la kheri
Nkululeko,
mimi niko interested na hayo mashuka ya uganda, nataka nianze hiyo biashara ila nimeshindwa kupata mtu wa kunipa maelekezo vizuri, kama vile ni kampala sehemu gani yanapatikana maduka gani?... mtaa gani. naskia hua yananunuliwa vitambaa tu alafu unpinda mwenyewe. nigeshkuru sana kama ungeweza kunifahamisha zaidi. nataka niende mwezi ujao nikachkue mzigo nikipata information za kutosha.
thanks in advance.
ni pm nikueleze cha kufanya
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.
Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.
Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.
nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.
fanya umtafute mkuu Money Stunna atakupa A-Z kuhusu kampala
mkuu strawber S.A usijaribu kwanza simu zao ghali sana hata kama second hand mi nimeishi huko mapajua A TO Z tangu 96 hadi 2009 leo nalima mahindi na mpunga morogoro. nenda uganda kama unavyoshauriwa .pia wa tz ndio adui zako huko unaweza poteza kila k2