Biashara yenye pesa nyingi huwezi ikuta ikipambanuliwa mitandaoni hata siku1

Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo.

Hata kama ina hela bas ni vijihela

We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon huko...

Biashara zenye pesa huwa zinapigwa kimya kimya ili watu wasiwe weng kwenye soko

Uzi tayar
kweli ata ku trade forex kuna ela sema watu wana ogopa risk
 
Ukweli wako ni wa asilimia 100% lakini biashara zinazoongolewa zilikuwa na pesa mwanzoni na hivi sasa ni za kawaida, amna jipya..
 
Back
Top Bottom