Biashara yenye pesa nyingi huwezi ikuta ikipambanuliwa mitandaoni hata siku1

Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo.

Hata kama ina hela bas ni vijihela

We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon huko...

Biashara zenye pesa huwa zinapigwa kimya kimya ili watu wasiwe weng kwenye soko

Uzi tayar
Qnet
 
Kama sie wauza majeneza
 
Ni mabaki yanayotokana baada ya kutengeza sukari,jina lingine sukari guru.
Kuna jamaa anawauzia wauza gongo ukifika kwake utafikiri upo kiwandani ana mapipa zaidi ya 200,ana madumu zaidi ya 1000, ana fuso 4.
Hio biashara huwezi kuanza na mtaji wa mawazo. Hilo pipa tu kuuziwa ni shughuli 😂
 
Acha mawazo mgando na fikra za kiuswahi na kimaskini, dunia ni kijiji hivi sasa tupo karne ya 21. UPGRADE YOURSELF!
 
Back
Top Bottom