Biashara yangu ya Bundi imenidodea

Hahahahahahha.....nawakumbuka mno...yaan nyie bwana..dah..haya karibu
Get well prepared, tuakuiba, tukakufuge. Ndume mpya anasemaje? Akiwa na wivu tutachomwa mishale. Kama si ya kimasai, Basi ya ki Kigwangala. Maana alikalishwa kwenye vibuyu kusafishwa mchana kweupeeee
 
hahahaha, hapa fasihi imefanya kaziyake
 

Haaaahaaaa. Heri ya pasaka mkubwa. Bundi waache waruke kivyake vyake
 
Mkuu wekeza kwenye mayai ya Bundi ndio yanahela.
Au Mshana Jr hakuwahi kukudokeza hili
 
Baki tu na mijibundi yako mpaka soko litakapo kaa sawa uyaweke stock bei ikiwa nzur unayauza !
Au uyagawe tu kwa washirika wenzako wayanywe supu
 
Bujibuji kiboko mwaka huo sikusoma huu uzi nikajua mabiashara ya bundi kweli daah kumbe ulitia pin namba nzito tofauti na mwewe ili uwe salama kweli umepata sare nyembamba sana hongera mzee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…