Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Usinicheke nisaidie mwenzenu naangamia. Nilisahau kuwa kila mchimba shimo huingia mwenyewe. Nimeharibu na kuroga biashara za wenzangu, kumbe wangefanikiwa kwenye biashara zao na kupata fedha wangeweza kutumia uchawi wangu wa bundi na mimi in return ningepata pesaHe He He
Umetisha mkuuMijibundi yenyewe nasikia ni size ya drimlaina,eabasi na bombadia! Ni kweli?
Nayo hiyo ni mijibundi??? Mi mgeni hapa..... tena naomba unionyeshe na ile miti ya Dsm inaitwa michipsichipsi nasikia matunda yake ndio yanatengenezewa chipsMijibundi yenyewe nasikia ni size ya drimlaina,eabasi na bombadia! Ni kweli?
Ikawange kwenye machimbo ya mkaa, au sio mkuu?Mkuu hawa bundi si nasikia ni kitoweo murua kabisa nyama yao ni zaidi ya kuku. Nakushauri ubadilishe aina ya biashara tu mjini hufi njaa
Kibiashara changu cha bundi hakiendani na mambo yenu ya uchumi wa kati..... nadhani tatizo nyotaKwa hyo sasa unawaza biashara gani baada ya uchawi kukushinda boss?
Kuna mtu kaniambia awamu hii wachawi pekee ndio wanaelekea kwenye uchumi wa kati we umekwama wapi?
Sasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeΓ¨eee..... si balaa hili?Kwi kwk kwi badilisha uuze mweweππ...ulikuja kwa mbwembwe sana unalooo babu weee
piere atabaki kuwa juu tu
Sasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee
We mkuu kweli kamongoNayo hiyo ni mijibundi??? Mi mgeni hapa..... tena naomba unionyeshe na ile miti ya Dsm inaitwa michipsichipsi nasikia matunda yake ndio yanatengenezewa chips
Hao majirani wanataka wanunue mijibundi yangu kwa nusu bei ili wanicheke. Bora bundi wangu wafikie menopause bila kupandwa wallah..... wafe tu na bikira zao
ππππππ na ukaitengenezea mnvua siku unaipokea. Kazi unayo. mvumilivu hula mbivu mkuuNimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa