biashara yangu mpya... karibuni!

hizi ni kazi za watu wavivu! Usitegemee kutoka kwenye umaskini.na kama unampeleka km 100 gharama ni sawa na mt 100?
 
Habari zenu wana jf naombeni ushari wenu mimi naishi england nimeamua kuja tanzania kutafuta freme nakuleta bidhaa za used kama flat screen tv.ma freezer navitu mbalimbali vya eletronic je munanishauri vipi juu yahiyo biashara inaweza kunitoa kwahapo dar.asanteni sana
 
ina mana unajua kila kona ya jiji?
 
Mkuu Kwanini usiianzishie thread hii mada kule kwenye jukwaa la uchumi ili iwe rahisi kupata wachangiaji kuliko kuwa kama comment?
 
Kaa huko huko uendelee Kula burger na vitu vya ice land bongo tunanunua mchina
 

unakiasi gani usaudiwe...?
 
Npm no yko tuchekiane


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
no yangu hiii +447424717136 kaka au hata ww naweza kuku check nitumie yakwako
 
Kaa huko huko uendelee Kula burger na vitu vya ice land bongo tunanunua mchina
kaka burger zinatumaliza kabisa tunahitaji kurudi nyumbani sasa kuweka mambo sawa tupeni ushauri tulete nini
 

Vile vitu vinavyotupwa barabarani ndio unavitafutia soko. He he he! Kweli we mjasiriamali
 
uwezo wangu nnawezo wakupakia conntener ya 40fit baskel,freezer tv. navitu mbali mbali kama microwave
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…