1-Soko la dhahbu siyo tatizo, but tatizo ni bei ukizingatia kwasasa bei ilivyo chini.
2- Bei hutofautiana, na inategemea unamuuzia nani na wapi, Taita/Broker/Wahindi/Sonara ama unasafirisha nje.
3- Vile vile bei hutegemea kiwango cha dhahabu kwa asilimia.